Natanguliza shukrani
TUNAHITAJI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI "LIKE" YAKO KWA UKURASA WANGU ITAPELEKA MAARIFA KWA WANANCHI WENGI ZAIDI. BAADA YA KU-LIKE *SHARE*Tunaendelea vema, nafarijika na wote mnaounga mkono kwamba kuna umuhimu wa wananchi kueleweshana, kujadiliana, kufundishana na kutafakari kwa pamoja juu ya Mchakato wa kupata Katiba Mpya.
Ili tuwafikie watanzania wengi zaidi ndani na nje ya nchi naomba tupateLIKES nyingi zaidi kwa page hii
---->>> Humphrey Polepole <<<----
ili kuwafikia na kuwasambazia uzalendo ambao ndio upendo kwa Taifa letu. Mpaka sasa tumeweza kuwafikia watu elfu 25,000 (page coverage). Naomba tusaidiane kupata LIKES 4000 zaidi wiki hii ili tufike LIKES 10,000 na hivyo kuwafikia watu wengi zaidi na maarifa ya elimu ya uraia juu ya mchakato wa kupata Katiba Mpya.
Nikusihi pia, Usikose kesho Alhamis kupata Nakala yako ya Gazeti la RAI huko ufafanuzi unaendelea.
Natanguliza shukrani
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment